Back to top

Kimbunga Ali kuharibu miundombinu nchini Uingereza na Ireland.

19 September 2018
Share

Huduma za usafiri na zimesimama katika baadhi ya maeneo nchini Uingereza na Ireland baada ya Kimbunga Ali kuharibu miundombinu  huku vyombo vya usalama na mamlaka ya hali ya hewa  vikiwaonya watu kuchukua tahadhari dhidi ya hali hiyo.

Kufuatia hali hiyo zaidi ya wakazi Laki mbili hawana huduma ya umeme nchini Ireland ambapo Uskochi jumla ya wakazi 20,000 hawana  huduma hiyo.