Back to top

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma ameitaka TBA kukamilisha miradi kwa wakati

13 November 2018
Share

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Bi. Christina Mndeme a amewataka wakala wa majengo nchini(TBA) kukamilisha miradi wanayotekeleza mkoani humo kwa wakati ikiwemo ya jengo la halmashauri ya wilaya ya Nyasa ili wananchi waweze kupata huduma ipasavyo.