Mwanaumme mmoja John Gicini amehukumiwa kifungo cha miaka 140 jela baada ya kupatikana na hatia ya kuwanajisi wanawe wawili wa kike.
.
Gicini alikiri kufanya kosa hilo eneo la Ndia, Kaunti ya Kirinyaga na atatumikia kifungo cha miaka 70 kwa kila kosa dhidi ya watoto hao waliopata ujauzito kufuatia unyama huo na kufanya jumla ya miaka 140 ya kifungo.