Wananchi wameshauriwa kuwapeleka watoto wao kwenye vituo vya afya ili wapate dawa ya chanjo itakayotolewa serikali kwa watoto wenye umri mdogo ambayo ni kinga tiba ya magonjwa ambayo yalikuwa hayapewi kipaumbele ambayo ni pamoja na minyoo, kichocho, usubi, matende, ukoma na mabusha badala ya kuwasikiliza wale wanaoeneza taarifa za upotoshaji kwamba chanjo hizo zina madhara kwa watoto.