Back to top

POLISI WANAOWANYANYASA RAIA WACHUKULIWE HATUA

08 April 2023
Share

Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi, Mhe.Hamadi Masauni, ameliagiza Jeshi la Polisi nchini kuwachukulia hatua za kisheria askari wa Jeshi hilo, wanaowanyanyasa wananchi na kusababisha hasira inayopelekea jamii kujichukulia sheria mkononi kwa kuchoma vituo vya Polisi, hali inayohatarisha usalama wa silaha na nyaraka za serikali katika vituo hivyo.
.
Mhe.Sagini ameyasema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Mganza, katika Kituo cha Polisi kilichochomwa moto na wananchi hivi karibuni.