
Rais wa Kenya, William Ruto, amemteua Luteni Jenerali Francis Omondi Ogolla ,kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Kenya.
.
Jenerali Ogolla anachukua nafasi ya Jenerali Robert Kibochi ambaye amemaliza muda wake.
.
Jenerali Ogolla amewahi kuhudumu kama rubani wa ndege za kuvita za Marekani, baada ya kupokea mafunzo ya urubani katika Jeshi la Anga la Merekani (USAF).
