Back to top

SANAA NA WASANII

Ni kipindi kinachoonyesha kazi mbalimbali za wasanii kama za michoro, uchongaji, maigizo, filamu, ngoma, mitindo na sarakasi, lengo likiwa kuinua kazi za wasanii na kuwapa moyo wengine walio na lengo la kuingia katika fani ya sanaa.

 KIPINDI KINA SEGMENTS MBILI:
1.Mada  husika ya siku inayoangaziwa kutoka kwa msanii husika, kama ni sarakasi, ngoma, uigizaji nk.
2.Wageni/mgeni mwalikwa akielezea kiundani historia yake na kazi zake.
 
Mtayarishaji: Neema Munga Kibanda
JUMAMOSI SAA 1:00-1:30 USIKU

Duration: 
30 mins
JUMAMOSI SAA 1:00-1:30 USIKU