Back to top

Dkt.Reginald Mengi akubali kuwa mlezi wa Serengeti Boys.

20 September 2018
Share

Mwenyekiti wa makampuni ya IPP Dkt.Reginald Mengi amekubali kuwa mlezi wa Timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 17 Serengeti Boys.

Akiongea mbele ya Rais Wa TFF na makamu wake Dk.Mengi amesema amekubali ulezi huo.

Dkt.Mengi amesema anaimani  Timu hiyo itachukua kombe na kumkabidhi Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt.John Pombe Magufuli.