Back to top

News

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa ametatua mgogoro wa muda mrefu wa kugombea ubia walioingia kati ya Bwana Sauli Henry Amon na familia ya mzee Bushiri Pazi.