Back to top

Mgogoro baina ya wakazi wa Kinzagu na Mwekezaji wamalizika.

21 April 2018
Share

Mgogoro baina ya wakazi wa kijiji cha Kinzagu kata ya Lugoba halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani na mwekezaji wa machimbo ya kusaga kokoto ya Tansino LTD umemalizika baada ya mwekezaji huyo kukubali kuwalipa wanakijiji kiasi cha Shilingi Milioni sabini  kwa ajili ya ujenzi wa jengo la mikutano.

Zaidi tizama taarifa hii.