Back to top

MWANAFUNZI AFARIKI AKIFANYA ADHABU

17 March 2023
Share

Glory Faustine, mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya Sekondari Mwinuko, iliyopo Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza, amefariki, baada ya kuangukiwa na gema la jiwe wakati akifanya adhabu aliyopewa na Mkuu wa Shule baada ya kuongea lugha ya kiswahili, waliyozuiwa kuitumia wakiwa shule hapo.