Back to top

Umri wa Wazanzibari wa kuishi ni miaka 67.

15 November 2018
Share

Mtakwimu Mkuu wa Zanzibar Bi Mayasa Mahfoudha amesema umri wa Wazanzibari wa kuishi  ni miaka 67 huku idadi ya watu Zanzibar  kwa sasa ni milioni moja na nusu.

Ametoa kauli ya utafiti huo kwa vyombo vya habari wakati akizungumza kuhusu maadhimsho ya siku ya takwimu Afrika Jumapili.