Back to top

News

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), amewezesha kuwasha umeme vijiji vyote 368 sawa na asilimia 100 na sasa utekelezaji unaendelea kwa kasi ya kupeleka huduma ya umeme kwenye vitongoji vyote ambavyo havijafikiwa na huduma hiyo  jijini Arusha............