Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imetunukiwa tuzo ya Taasisi ya Fedha Kinara katika Kuwezesha Miradi ya Ufugaji wa Kuku nchini, katika Maonesho ya 10 ya Ndege Wafugwao (Tanzania Poultry Show 2026)..............................................










