Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Africa, Sunil Taldar, amesema Matumizi ya Intaneti na huduma za fedha kupitia simu yamekuwa injini kuu ya ukuaji wa Airtel Africa, huku kampuni hiyo ikitangaza ongezeko kubwa la mapato na faida kwa mwaka wa fedha ulioishia Machi 31, 2026.










