Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amerejesha furaha kwa Bi. Federica Masangasi wa kijiji cha Muungano wilayani Mpwapwa kwa kumpatia godoro na kitanda.