#UTEUZI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi wawili, huku akitengua wawili, katika Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA). Share