SELESTINE GERVAS BALOZI WA TANZANIA NCHINI NIGERIA
13 December 2024
Share
Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempangia kituo cha kazi Balozi Selestine Gervas Kakele ambapo amekuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria.
Balozi Kakele anachukua nafasi ya Balozi Dkt.Benson Alfred Bana ambaye amestaafu.