Back to top

News

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa ameeleza kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameipa heshima nchi kwa kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia inayopewa kipaumbele katika mataifa mengi duniani.........