Back to top

News

Timu ya Wataalam kutoka Idara ya Wanyamapori na Kitengo cha Mawasiliano wa Wizara ya Maliasili na Utalii wameendelea na zoezi la  kutoa elimu kuhusu Wanyamapori wakali na waharibifu pamoja na uhifadhi wa mazingira kwa Wanafunzi wa shule za msingi na Sekindari katika Wilaya ya Handeni mkoani Tanga.