Back to top

News

Waziri wa Katiba na Sheria Dk. Damas Ndumbaro, amesema upendo wa Rais wa Jamhuri wa Muungano Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa wananchi wake haujaishia katika kuleta maendeleo kupitia miradi mbalimbali bali umeenda hadi katika kuhakikisha wanapata haki zao.........