Back to top

News

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi Juni 14,  2025, ametangaza kuwa barabara ya mzunguko (ring road) ya nje ya Mji wa Dodoma itaitwa Barabara ya Dkt. Akinwumi Adesina, kama sehemu ya kuenzi na kutambua mchango wa Dkt. Adesina, Rais wa Benki ya maendeleo ya Afrika anayemaliza muda wake.