Back to top

Sport

Matumaini ya mchezaji wa kimataifa  wa Ufaransa Paul Pogba, yameanza kurejea baada ya kifungo chake cha miaka minne kwa kosa la kutumia dawa za kusisimua misuli kupunguzwa hadi miezi 18, kufuatia rufaa iliyofanikiwa katika Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (Cas).