Back to top

News

Kutokana na kukithiri kwa vitendo vya wizi,uzembe na usimamizi mbovu  katika miradi mikubwa ya maji hapa nchini, waziri wa  maji Profesa Makame Mbarawa amekiagiza chuo cha maji kufundisha uzalendo, nidhamu na maadili  ili kuondoa tatizo hilo.